AKIBA
- Mwanachama anatakiwa kuweka akiba isiyopungua Tshs.70,000/= kila mwezi .
- Mwanachama atapata faida inayotokana na akiba zake mara moja kwa mwaka, kwa kadri itakavyopendekezwa na mkutano mkuu.
- Kiwango cha lazima cha akiba kila mwezi kitalipwa moja kwa moja kutoka kwenye mshahara wa mwanachama.
- Akiba zinatumika kama dhamana ya mkopo,hivyo basi kadri unavoweka akiba nyingi ndivyo unavyoongeza nafasi ya kupata mkopo mkubwa zaidi.