1. MKOPO WA DHARURA
- Kiwango cha juu ni Tshs.3,000,000
- Malipo ndani ya miezi 9
- Riba ni 2% kwa mwezi
- Mkopo unatoka ndani ya siku moja
2. MKOPO WA NIPIGE TAFU
- Kiwango cha juu ni Tshs.1,000,000
- Malipo ndani ya miezi mitatu
- Riba ni 3% kwa mwezi
- Mkopo unatoka ndani ya siku moja
3. MKOPO WA ELIMU
- Kiwango cha juu ni Tshs.5,000,000
- Malipo ndani ya miezi kumi na mbili
- Riba ni 1.25% kwa mwezi
- Mkopo unatoka ndani ya siku moja
4. MKOPO WA BIMA
- Kiwango cha juu ni Tshs.2,000,000
- Malipo ndani ya miezi mitatu
- Riba ni 1.5% kwa mwezi
- Mkopo unatoka ndani ya siku moja
5. MKOPO WA LIKIZO
- Kiwango cha juu ni Tshs.3,000,000
- Malipo ndani ya miezi 12
- Riba ni 2% kwa mwezi
6. MKOPO WA MAENDELEO
- Kiwango cha juu ni Tshs.60,000,000
- Malipo ndani ya miezi 60
- Riba ni 1.08% kwa mwezi
- Mkopo unatoka mara mbili kwa mwezi tarehe 15 na 1 kila mwezi
7. MIKOPO YA SIKUKUU
(a) FESTIVAL (kwa wanachama wapya)
- Kiwango tsh 1,500,000/=
- Malipo ndani ya miezi 6
- Riba ni 1.5%
- Taslimu Tsh 600,000/= ,Hisa tsh 700,000/= Kiingilio tsh 20,000/= ada ya mkopo tsh 20,000/= akiba tsh 160,000/=
(b) EASTER BOOSTER (wanachama)
- Kiwango tsh 300,000/=
- Malipo ndani ya miezi 3
- Riba ni 1.5%
UTARATIBU WA KUPATA MKOPO
- Kwa mikopo yote ya muda mfupi omba kupitia portal.crdbsaccos.co.tz
- Kwa mkopo wa Maendeleo na Jiongeze loan jaza fomu ya mkopo husika kwa usahihi kisha wasilisha ofisi za SACCOS kupitia info@crdbsaccos.co.tz/saccoscrd@yahoo.com pia tuma fomu halisi kupitia sanduku la barua
CRDB SACCOS
S.L.P 268
DAR ES SALAAM