HISA
- Hisa Moja ni Tsh 10,000/=
- Mwanachama anatakiwa kuwa na hisa zisizopungua 70
- Mwanachama hataruhusiwa kumiliki hisa zaidi ya moja ya tano (1/5) yaani 20% ya hisa zote za chama.
- Mwanachama haruhusiwi kupunguza hisa zake hadi kufikia chini ya hisa 70.
- Mwanachama atapata gawio kila chama kinapopata faida kwa miaka mitatu mfululizo